Ni Nini Hufanya Kila Chapa (brand) ya Simu Kuwa ya Tofauti?
Kuna chapa nyingi za simu huko nje ambazo inaweza kuwa ni ngumu sana kutofautisha kati yake.
Hizi ni miongoni mwa chapa za Simu hizo ; Iphone, Samsung, Infinix, Google Pixel, Oppo, Motorola, Nokia, TCL, Vivo, ASUS, Xiaomi, Realme.
Brand ipi unaikubali sana yaani huwezi acha kabisa kuitumia kati ya hizo?
Mambo muhimu ya kuzingatia katika kuchagua Simu Uipendayo;
1. Display (Onyesho)
2. Battery Life (Betri inadumu kwa muda gani?)
3. Storage (Hifadhi)
4. Security (Usalama)
5. Build ( Version/ Toleo la mwaka gani).
6. Processor (Uwezo wa kuchakata mafaili).
7. Camera (mega pixel za Kamera)
8. Price of the smartphone (Bei ya Simu).