Mwijaku Amchana Harmonize “Show Yako Yanga Day ilikuwa Mbovu Hukuwatendea Haki”
FACT-RAFIKI WA KWELI ATAKWAMBIA UKWELI ZAIDI .! @harmonize_tz Umepata platform kubwa sana siku ya MWANANCHI na una hit song nyingi sana ila show yako hauja ipangilia KABISAAAAA Kulikua Hakuna Coordination ya matukio yako wapi usema na crowd yako na wapi uimbe na wapi ucheze na stage. Kiufupi hakuja kua na mpangolio .
Una HIT song kubwa sana ya YANGA lakini hauja utendea haki wimbo wa YANGA na hata Hit song zako hukuziimba vile ninavo kujua mimi .
S/O @marioo_tz alivo panda mlileta Chemistry nnzuri na ukaanza kuimba na mkaanza kurudi kwenye line but ghafla mzuka ukakutoa tena mkaanza kukimbia uwanjani na mkijua wote wawili hamna pumzi kama mimi mkajikuta mna walazimisha watu wainue mikono na mkijua wamechoka na heka hela za djAlly B .
S/O @harmonize_tz Pale ulipo wainua mashabiki na kuwaelekeza kuwasha Taa za simu zao its was Huge vibe but mwisho ukawa huna muendelezo nao ukajikuta unaitaja BOMBACLAAAAAAAAACK bila VIBE . Nimechukia namna ulivo ingia ..! Uliingia kinyonge sasa sijajua ulitaka kufanyaje . But ulipaswa kujua crown nnzima ilikua inakutegema wewe . Pale ulikua na mamlakaa wewe na si mtu mwingine .
@rayvanny Big Creative umewagusa watu wa hali ya chini na kuwafanya kua sehemu ya maisha yako . But na wewe ukaingia mkumbo wa kukumbia uwanjani ukajikita unatoka kwenye kuimba kabisa na ukaanza kukimbia .
MWANANCHI DAY iliwapa kila mlicho yaka but mkashindwa kuleta impact na kuifanya show ya MWANANCHI kua ya Hadhi kabisaaaaaaaa All in All mejitahidi but Poor performance hamkuwatendea haki vijana wenu walio ujaza uwanjani kwa jasho na damu juu yenu .
#NB-Nimewahi kuambiwa kwamba; “Mbwa mwitu mwindaji lazima awe na makovu ya kutosha. Na ukiona mtu anajifanya class yake ya juu, wewe hama shule.
Tags: BURUDANI