Klabu ya Mtibwa Sugar imemtangaza Melis Medo raia wa Marekani kuwa kocha wao Mkuu huku akisaini mkataba wa Mwaka mmoja.
Mtibwa kwasasa itashiriki Championship msimu ujao wa 2024-25 baada ya kushuka daraja kutoka ligi kuu katika msimu uliopita wa 2023-2024.
Medo amewahi kuvinoa vilabu mbalimbali nchini kama Gwambina, Dodoma jiji Fc na Coastal Union.