Mkuu wa mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego alipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini.
Mhe. Halima Dendego alipokerewa na Irene Madeje Mlola, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA)
PICHA ZAIDI YA TUKIO