Bodi ya Ligi imetoa ratiba rasmi ya msimu ujao 2024/25 ambapo vigogo wa Kariakoo wataanzia ugenini na nyumbani!
Simba itaanza na Tabora United uwanja wa nyumbani
Yanga itaanza na Kagera Sugar ugenini
Azam FC wataanzia ugenini kwa JKT Tanzania