Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela na maafisa waandamizi wa benki hiyo walipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini.Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma SBL, John Wanyancha akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela (Kushoto) na Tully Esther Mwambapa (Kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa CRDB Foundationon