Dar es Salaam, Tanzania – 8 Agosti, 2024
Ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mweingine wa burudani katika ligi kubwa duniani, Kampuni ya ubashiri Betway iko pamoja na wateja kuwaba burudani na huduma bora za kubashiriki.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko Betway Tanzania Calvin Mhina amesema walishiriki vyema kuwa sehemu ya burudani kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza kutazama mitanange ya ngao ya jamii katika viunga vya uwanja wa Taifa pamoja na Betway Arena ya kisasa iliyoko Mbezi Beach Dar es salam.
Amesema wateja waliojitokeza walipata wasaa wa kushiriki michezo mbali mbali na kujishindia zawadi za papo hapo toka Betway.
Aidha amesema pamoja na kutoa elimu ya kubashiri kistaarabu pia ilikuwa ni wasaa wa kueleza wateja huduma mpya na bora zitakazowawezesha kufurahia kubashiri na kushinda zaidi.
“Msimu huu tunawaletea promosheni ya Pata Zaidi na Betway ikiwa imesheheni ofa lukuki. Promosheni hii inakuruhusu kuchagua Offer Uipendayo, yani hatukuoangii ofa wewe ndio unachagua ipi inakufaa kila wiki Wateja wanatakiwa kutembelea kurasa yetu ya promosheni katika tovuti www.betway .co.tz na kuchagua kushiriki ili wasipitwe na of hizi na nyingine nyingi msimu”. Amesema