Mchezaji kiungo Fabric Ngoma, wa timu ya Simba, ameonyesha kuto pendezwa na utaratibu wa uongozi wa bench la ufundi la klabu ya Simba SC, kumuanzisha benchi mchezaji huyo Kila mechi.
Hayo yamezungumzwa kupitia wakala wa mchezaji huyo wakala wa mchezaji Fabric Ngoma, amesema nibora uongozi wa klabu hiyo useme kama hawana uhitaji naye Kwa sasa Kisha wamlipe pesa ya mwaka mmoja uliobaki Ili aende akatafute changamoto mpya sehemu nyingine.
“Viongozi wa Simba wanamkosea heshima mchezaji wangu,Kama hawamtaki wanipigie Simu ili nimpeleke sehemu Nyingine,kuna vilabu zaidi ya 200 vinamtaka Ngoma,hivyo watulipe hela ya msimu Mzima tuondoke zetu,” amesema Faustyworld Wakala wa Fabrice Ngoma.