Hospitali za Aga Khan zaendelea kutoa huduma kwa watumiaji wa Mfuko wa bima ya afya (NHIF) kama hospitali nyinginezo nchini.
Siku za hivi kalibuni kumekua na sakata la hospitali za Aga Khan kujiondoa katika utoaji wa huduma kwa wanufaika wa Mfuko wa bima ya afya na sababu ikiaminika kuwa Mfuko huo unatoa kiasi kidogo cha pesa kwa hospitali hiyo ya mtu binafsi hasa kwa matibabu ya upasuaji.
Lakini kupitia wizara ya afya chini ya waziri Ummy Mwalimu Imeitaka kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma huku wakiwa anaendelea na majadiliano kuelekea muagaka wa swala hilo, ambapo Mfuko wa bima ya afya imewataka wanufaika wake iwapo utakua na changamoto wapige huduma kwa wateja masaa 24 siku saba za wiki.
Taarifa kuhusu kutotolewa kwa huduma za afya katika vituo 11 kati ya 24 vya Aga Khan nchini ilitolewa 7 August ambapo ilidaiwa kuwa suala hilo itakua rasmi siku ya 14 August 2024 na ilidaiwa kuwa vituo ambavyo vita athirika ni Mbezi beach, Kigamboni, Kimara, Sinza, Arusha, Mbeya, Zanzibar, Kahama na masaki.
Cc; THE CITIZEN
#KonceptTvUpdates
9 insufficient, ng mL 45 270 49 303 30 sufficient, ng mL 14 82 25 155 Gravidity Y N 34 202 41 249 Smoking Y N 15 90 8 47 SHBG, mean SD, nmol L 33 cialis super active 2 and an overall survival benefit of 2