Shirika la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Kla bu ya Biashara United ahabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya klabu hiyo kumamilisha malipo ya mchezaji aliyekuwa akiidai.
Mchezaji raia wa Uganda Matthew Odongo alikuwa akiidai malimbikizo ya mishahara.
Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi ya NBC championship akidai malimbikizo hayo ya mishahara.
#KonceptTvUpdates