Pilsner Lager inakuletea kampeni mpya kabisa ya “Furahia Kila Ushindi na Pilsner Mbili”
Pilsner lager inatuonyesha kuwa ushindi hauji tu mwishoni mwa safari. Ushindi uko katika kila hatua unayopiga hata iwe ndogo vipi. Ukiamka asubuhi na kuanza mishe zako, ukiwa unapiga tizi, au ukiwa unatimiza majukumu yako ya kila siku. KILA hatua ni ushindi!
Unajua ile furaha ya kuungana na washikaji zako baada ya kazi, mkifurahia muda wenu pamoja? Huo ni ushindi! Na #PilsnerMbili, tunataka ufurahie kila ushindi…uwe mkubwa au mdogo, kwa sababu KILA hatua ni ushindi.