Msanii wa muziki wa BongoFleva nchini Rayvanny ameomba kutolewa kwenye tuzo za muziki za Tanzania (TMA).
Rayvanny ameomba ombi hilo kupitia post yake kwenye instagram huku akisema kuwa hakubaliani na fitna za watu wachache, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa, ameomba kutolewa katika tuzo za TMA.