Mwanamitindo mmoja huko London ambaye alijioa mwenyewe mwaka jana hatimaye amewasilisha madai ya talaka baada ya kukaa mwaka mmoja peke yake.
Tukio la kustaajabisha lakini hivi majuzi limeenea kwenye mitandao ya kijamii, likimhusisha mwanamke ambaye alijioa kisha kujitaliki baadaye. Suellen Carey, mwanamitindo mwenye umri wa miaka 36 kutoka Brazil, aligonga vichwa vya habari mwaka jana kuhusu harusi yake isiyo ya kawaida huko London.
Kitendo cha ndoa ya kibinafsi hapo awali kilisherehekewa kama kauli ya ujasiri ya kujipenda na kujitegemea.
Mambo yakamuwia vigumu kuona baadhi ya mambo aliyoyatarajia hayaendi sawa akamanua kuchukua uamuzi wa kuivunja ndoa hio kwa mikono yake mwenyewe
#KonceptTvUpdates