[caption id="attachment_8379" align="alignnone" width="2428"]<img class="wp-image-8379 size-full" src="http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2024/09/Screenshot-2024-09-11-at-14.31.06.png" alt="" width="2428" height="1654" /> Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa, Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Tawi la Dodoma, mwishoni mwa wiki iliyopita katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini Dodoma. Amina amepata nafasi ya kuchagua shule ambayo Vodacom watasaidia kukarabati maktaba ya shule hiyo ili kukamilisha adhma ya kusaidiana na Serikali katika kuboresha elimu nchi[/caption] <img class="alignnone wp-image-8380 size-full" src="http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2024/09/Screenshot-2024-09-11-at-14.31.13.png" alt="" width="2480" height="1614" />