[caption id="attachment_8566" align="alignnone" width="1600"]<img class="wp-image-8566 size-full" src="http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2024/09/WhatsApp-Image-2024-09-23-at-10.08.44.jpeg" alt="" width="1600" height="1092" /> Meneja wa duka la Vodacom jijini Mwanza Jumeo Iddi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni moja mshindi wa droo ya nane ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Bw. Seleman Benjamin (kulia) katika hafla iliyofanyika dukani hapo mwishoni mwa wiki iliyopita. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga *150*00#[/caption] [caption id="attachment_8567" align="alignnone" width="1600"]<img class="wp-image-8567 size-full" src="http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2024/09/WhatsApp-Image-2024-09-23-at-10.08.45-1.jpeg" alt="" width="1600" height="1066" /> Mshindi wa nne wa droo kubwa ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ George Thobias (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi million ishirini kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi kanda ya ziwa wa Kampuni hiyo, Victoria Ngoya (kulia), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. George pia amepata nafasi ya kuchagua shule anayotaka na kisha Vodacom wataenda kukarabati maktaba ya shule hiyo. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miala mingi. Ni Balaa![/caption] [caption id="attachment_8568" align="alignnone" width="1600"]<img class="wp-image-8568 size-full" src="http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2024/09/WhatsApp-Image-2024-09-23-at-10.08.45.jpeg" alt="" width="1600" height="1115" /> Ni Balaa! mshindi wa droo ya nane ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Proscovia Johnbosco (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi milioni moja kutoka kwa meneja mauzo wa mkoa wa Mwanza Gift Tesha (kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini humo mwishoni mwa wiki iliyopita. Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App.[/caption]