Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamond amesema mchezaji anapaswa apambane ili upate namba ndani ya kikosi hiko cha wananchi
“Naeza uwauliza Washambuliaji wangapi nawatumia kila mchezo? mbona hamuulizi kwenye eneo la kiungo Sureboy hachezi? Mkude anacheza mara mojamoja? Wakati mwingine kama binadamu wa kawaida najisikia vibaya, na kuna wakati inanilazimu nimpange Mudathir namba 8 kutokana na ufinyu wa namba kwenye kikosi chetu
Haya niambieni nimpange Baleke nimuache nje Dube au Mzize? mnatakiwa mfikiri Baleke ni mchezaji mpya bado hajazoea pattern za Yanga SC, na kwenye benchi natakiwa nibalance wachezaji kuwe na kipa, walinzi wawili, viungo na washambuliaja wawili ili ufikie idadi ya wachezaji 20 kwenye mchezo haya niambieni namuweka wapi Baleke” Gamond.