Draw ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ilifanyika jana mioda ya saa moja jioni na kupata makundi 8 yatakayochuana kuwania kucheza fainali pale Istanbul hapo mwakani mwezi Mei au June. Yaangalie makund…
Klabu ya Liverpool chini ya kocha mjerumani Jurgen Klopp usiku wa jana wameibuka kidedea katika fainali ya UEFA SUPER CUP iliyofanyika kule Uturuki dhidi ya Chelsea kutoka ligi kuu ya Uingereza pia. …
Mchezaji wa zamani na mfungaji bora wa muda wa wote wa klabu ya Chelsea - Frank Lampard leo July 4, 2019 ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo ya jiji la London. Lampard anajiunga na Chels…
Kocha huyo amejiunga na Juventus kwa kandarasi ya miaka 3 baada ya kukaa Chelsea kwa msimu mmoja Akiwa Chelsea, alifanikiwa kuchukua Kombe la Europa likiwa ndio taji lake kubwa katika mai…
Rasmi, Manchester United hawatacheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya pointi zao walizokusanya msimu huu kwenye Ligi Kuu England hazitoshi kuwafanya kuingia ndani ya Top Four. Sare ya…
Klabu ya CHELSEA ya jijini London imezionyesha kwa mara ya kwanza jezi watakazozitumia katika mechi zao za nyumbani pale Stanford Bridge kwa msimu ujao wa 2019/2020. Unazionaje? Unazipa marks ngapi?…
Social Plugin