Jackline Wolper amesema kuwa hadi sasa yupo Single na mapenzi si kipaumbele chake kwasasa hata kidogo kwani yupo bize na kazi kuhakikisha biashara zake zinazidi kumnyookea. Jackline Wolper kwasas…
MKONGWE wa muziki nchini Marekani, R Kelly jana alifikishwa mahakamani ili kusikiliza moja ya kesi yake zinazomkabili ambapo kwa mara ya kwanza alikuwa na mavazi ya wafungwa tangu alivyokamatwa…
Kanye West ndio msanii wa Hip Hop duniani ambaye amelipwa mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2019 kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii ni kuanzia June 2018 hadi June 2019. Orodha hiyo ya (High…
Baada ya kuenea katika mitandao ya kijamii Msanii wa Muziki AliKiba kuachana na Mke wake, Amina Kesh. AliKiba ameibuka kujibu tuhuma hizo. AliKiba amesema kuwa “Ni kweli mimi na mke wangu tun…
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido Adedeji Adeleke maarufu kama Davido amefunguka juu ya msanii nyota kutoka Marekani, Chris Brown kumsimamia kwenye harusi yake anayotarajia kufunga n…
Baada ya wiki iliyopita kutoka taarifa kwamba album ya Mwanadada Rihanna itatoka mwezi December mwaka huu 2019, Gwiji Rapa Drake naye anamnyatia kwa nyuma. Kupitia kongamano la Label ya Un…
Birdman ananuka madeni tu, kila uchwao yanaibuka mapya kuhusu watu ambao wanamdai. Leo kuna hii mpya ya mfanyakazi wake ambaye alimshtaki kwa kushindwa kumlipa mshahara. Mtandao wa The Bl…
Msanii wa Nigeria Tiwa Savage kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter amesema hatokwenda nchini Afrika Kusini kupaform kwenye tamasha la DSTV Delicious Festival kutokana Vurugu zinazoen…
Wapenzi wawili wa R. Kelly waunganisha nguvu kumsaidia mwimbaji huyo kwenye kesi zake Unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo zinazomkabili kwa sasa. Joycelyn Savage na Azriel Clary …
Future amekimbilia mahakamani kujikinga baada ya mwanadada Eliza Reign kuibuka na kudai ana mtoto wa Future. Mtandao wa The Blast umeripoti kuwa Future amefungua faili la kumtaka Eliza anyamazishwe…
Mchekeshaji Kevin Hart na wenzake wawili wamepata ajali ya gari mapema Jumapili Septemba 01, huko Calabasas, California baada ya dereva kukosa udhibiti wa gari hilo Hart na dereva Ja…
Kwa miaka 13 sasa kundi la Sauti Sol limeweza kuwa pamoja na Kufanya kazi zilizoleta heshima Afrika Mashariki kwa ujumla. Sio kawaida kwa makundi kudumu kwa kipindi chote hicho, nini sababu ya wao …
Ed Sheeran ametangaza kuchukua mapumziko kwenye muziki, na itakuwa ni miezi 18 toka sasa. Mwimbaji huyo wa Uingereza ametoa kauli hiyo kwenye hitimisho la ziara yake 'Divide World Tour' mji…
Mshambuliaji wa LA Galaxy na Legend wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic anaamini kwamba bado anaweza kucheza katika Ligi kuu ya Uingereza (EPL) na kusema kwamba atarudi Manchester United kama wakimuhitaj…
Kufuatia moto mkubwa unaoendelea kuangamiza msitu mkubwa wa Amazon, Muigizaji Leonardo DiCaprio amepanga kuchangia kiasi cha dola milioni 5 (Tsh. Bilioni 10+ ) kwenye mfuko wa majanga wa msitu wa A…
Diddy aibuka na kukaa upande wa Jay-Z kwenye sakata lililomfanya aitwe msaliti baada ya kusaini dili na NFL. Kupitia ukurasa wake wa instagram jana Diddy amemuunga mkono kwa kusema, ndani ya NFL …
Mwezi Februari mwaka huu Ariana Grande alishtakiwa kwa kunakili kipande cha video ya msanii Vladimir Kush na kukitumia kwenye wimbo wake 'God Is a Woman' sasa shtaka hilo limefutwa rasmi. …
Majirani wamuitia polisi Kanye West, ni baada ya kelele kuzidi kwenye mradi wa ujenzi wa vijumba vyake unaondelea mjini Calabasas. Kwa mujibu wa TMZ, jirani mmoja alipiga simu na kuwaita polisi wik…
Cristiano Ronaldo alikuwa na tuhuma za ubakaji, kosa ambalo anadaiwa kulitenda miaka 10 iliyopita katika mji wa Las Vegas Marekani. Tuhuma hizo zilifutiliwa mbali hivi karibuni baada ya …
Social Plugin