Afisa wa zamani wa shirika la umoja wa mataifa amefungwa jela nchini Nepal baada ya kukutwa na hatia ya udhalilishaji wa watoto. Peter John Dalglish, 62 raia wa Canada, alishikiliwa karibu…
Shambulio lililofanywa kutoka angani dhidi ya kituo cha kuwahifadhi wahamiaji nje ya mji wa Libya na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 44 linaweza kuwa uhalifu wa kivita, afisa wa UN amesema…
NAIBU WAZIRI OLE NASHA ATAKA WATOTO KULINDWA NA KUWEZESHWA ILI WAWEZE KUSHIRIKI FURSA MBALIMBALI ZA ELIMU Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amesema Serikali inatambu…
Moja ya Kambi nyingi za wakimbizi Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi, UNHCR limesema watu takriban milioni 70.8 wameyakimbia makazi yao duniani kote, kuepuka ghasia na unyanyasaj…
Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania" Baadhi ya Vijana wa Kitanzania ambao waliunda umoja wao wa "Future Team Tanzania" walipokuwa mafunzoni nchini Urusi, w…
Mkutano wa Vijana wa ECOSOC (Economic and Social Council) uliofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New-York Marekani umemalizika leo ambapo vijana wameweza kujadili mambo mbalimbali…
Kila mwaka Umoja wa Mataifa hufanya mkutano mkuu wa mwaka ujulikanao kama 'ECOSOC Youth Forum (Economic and Social Council) au kwa kiswahili 'Mkutano wa Vijana wa Uchumi na Jamii (ECOSO…
Social Plugin