Bondia nyota duniani, Manny Pacquiao amerejea kwao Ufilipino ikiwa ni
siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji katika bega lake nchini Marekani.
siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji katika bega lake nchini Marekani.
Manny alipokelewa na mashabiki na watu mbalimbali katika jiji na Manila.
Huku mkono wake ukiwa umefungwa, lakini bado alionekana ni mwenye furaha
muda wote.
muda wote.
Bondia na mwanasiasa huyo, aliambulia kipigo kwa pointi dhidi ya bondia
asiyepigika Floyd Mayweather.
asiyepigika Floyd Mayweather.
Hata hivyo, Mayweather amekuwa akimshutumu Manny kwa kusema kwamba
alipigana akiwa mgonjwa.
alipigana akiwa mgonjwa.