Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars” yatolewa Michuano ya African Cup Of Nations “AFCON 2023” iliyo chini ya CAF ikidhaminiwa na Total Energies kufuatia kushindwa kujikusanyia pointi za kufuzu hatua ya 16 baada ya kutoa sare ya 0-0 dhidi ya DR Congo katika mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwe Michuano ya Afcon inayofanyika nchini Côte d’Ivoire (Ivory Coast).
FT; Tanzania 0-0 DR Congo.Kwa upande wa mechi nyingine iliyochezwa matokeo yake FT: Zambia 0-1 Morocco; Ziyech 37’
#Editedby; Alfred Mtewele 2024