MARA: Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda, Karoli Mganga akishirikiana na Mhasibu wa Parokia, Gerald Mgendagenda wanatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Tsh. Milioni 800 Mali ya Parokia hiyo kinyume cha Sheria na Taratibu
Vilevile wanadaiwa kughushi sahihi za Watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha Wizi walioukusudia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase amesema Upelelezi umeshakamilika na watuhumiwa wako nje kwa dhamana wakisubiri Hati ya Mashtaka ya Serikali
Cc;Jamii Forums