Muonekano wa sasa wa Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere -JNHPP Rufiji, ambao ujenzi wake ulianza Disemba 12, 2018 huku ujenzi wake mpaka sasa umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 ambapo kiasi cha Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zimelipwa kwa Mkandarasi mpaka sasa.
Majaribio ya mtambo namba 9 kwenye mradi wa kufua umeme yamekamilika huku mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme utaanza kuzalisha umeme mwezi machi, 2024
#KonceptTvUpdates