Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ataja Viingilio vilivyopendekezwa kwenye Mechi yao ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini huku akimalizia kusema kuwa jukwaa la Mzunguku litakuwa halina gharama za kiingilio (Bure).
“Wote tunakubaliana mechi ya Mamelodi ni mechi kubwa zaidi kwenye robo fainali ya CAFCL msimu huu na Viingilio ni kama vifuatavyo: 𝐕𝐈𝐏 𝐂 𝟏𝟎,𝟎𝟎𝟎 𝐕𝐈𝐏 𝐁 𝟐𝟎,𝟎𝟎𝟎 𝐕𝐈𝐏 𝐀 𝟑𝟎,𝟎𝟎𝟎 Tunafahamu mechi itaisha usiku sana, kwa kuwajali mashabiki wetu na dhamira ya nchi yetu hasa kwenye sekta ya michezo Viongozi wetu wameamua jukwaa la 𝐌𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐊𝐎 litakuwa 𝐁𝐔𝐑𝐄. @AliKamwe
#KonceptTvUpdates Kikosi cha Young Africans, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (CAF Champions League) Kikosi cha Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini (CAF Champions League)