Simba SC imemkabidhi jezi Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia ambayo atavaa siku ya mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hio Ahmed Ally ndio amekabidhi jezi hio kwa niaba ya Uongozi wa Simba.
Mechi hiyo itachezwa Wiki ijayo Ijumaa ya Machi 29, 2024 saa 3:00 usiku.
#KonceptTvUpdates