KULA BATA
Mambo ya UFUKWENI aka BEACH… Je, unapokwenda kula BATA kifamilia zingatia nidhamu ya MAVAZI? Kumbuka upo na WATOTO wako na si mwenza wako pekee! Je, ni busara kumwonesha mwanao maungo yako?? (MUUNGWANA NI KITENDO)
kwa hisani ya http://www.artsfede.blogspot.com/