Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akiinuliwa mkono juu baada ya kumtandika mpinzani wake Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya 3 wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee wa pili kushoto ni Kocha wa bondia Class ,Rajabu Mhamila Super D.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sako Mwaiseje kushoto akipambana na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ katika mpambano wao uliofanyika siku ya Iddi pili King Class Mawe alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu.
Rajabu Mhamila Super D Boxing Coach Ashanti na Ilala wa pili kushoto akiwa na furaha ya ushindi baada ya bondia wake Ibrahimu Class kumpiga Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya tatu
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na bondia Sande Kizito wa Uganda wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa IBF Afrca lililofanyika siku ya Iddi pili katika UKUMBI WA jubilee