Staa wa muziki wa gospel Tanzania Flora Mbasha amefanya party nyumbani kwake Tabata Dar es salaam na kukutana na waandishi/watangazaji wa vyombo mbalimbali vya habari vinavvompa support na kuvitunuku vyeti, niliiwakilisha familia yangu ya Clouds Fm.
Cheti kwa Channel Ten na Magic Fm.
Cheti kwa Praise Power Radio.
Cheti kwa Sahara Media wanaomiliki Star Tv, Radio Free na Kiss Fm.
Cheti kwa Radio Upendo.
Cheti kwa Radio Maria.
Flora Mbasha, Millard Ayo na Stara Thomas
Cheti kwa Wapo Radio.
Cheti kwa Top Radio Morogoro.
Cheti kwa TBC 1.
![11](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/09/1114-800x600.jpg) |
KWA HISANI YA MILARD AYO |