Kobe Bryant amemfunika moja ya magwiji wa mpira wa kikapunchini Marekani, Michael Jordan baada ya kumzidi idadi ya vikapu vya kufunga. hii imfenyanya Kobe Brayant kusimama katika nafasi ya tatu na kumporomosha Jordan hadi nafasi ya nne kwa wachezaji ambao wamefunga zaidi tangu NBA ianzishwe.