Nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya alimwambia Mwandishi Wetu kuwa anatamani kuitwa baba lakini anaona mungu ajapanga iwe hivyo kwasasa.
Diamond alisema “mungu ndiye anapanga kila kitu ninaamini muda ukifika nitabarikiwa kupata mtoto na nitaitwa baba”.