Forbes wametoa orodha ya wasanii watano matari wa Hip HOP Katika orodha hiyo P Didy ambaye ameweza kushika nafasi ya kwanza kama Rapa mwenye mkwanja mwing zaidi kutokana na biashara zake kama kumiliki studio, Lebo za mavazi pamoja na kinywaji cha Ciroc na biashara nyinginezo Didy anaongoza kwa kiasi cha Dolar $737 Million.
Akifuatiwa na Dr. Dre Ambaye Pamoja nakuuza Beat By Dre{HEADSPHONE} Kwa kampuni ya Apple kwa kiasi cha Dollar $3 Billion mwaka uliopita hajafanikiwa kushika namba moja kama Rapa tajairi Amekamata nafasi ya pili kwa kiasi cha Dolar $700 Million, Jay Z Anamiliki Dollar $550 million na namba Nne imeenda kwa 50 Cent akimiliki Dollar $155 million Birdman Amekamilisha kwa kumiliki kiasi cha Dollar $150 million.
LIST IMEKAA HIVI
1. Diddy – $735 million
2. Dr. Dre – $700 million
3. Jay Z – $550 million
4. 50 Cent – $155 million
5. Birdman – $150 million
2. Dr. Dre – $700 million
3. Jay Z – $550 million
4. 50 Cent – $155 million
5. Birdman – $150 million