Msanii maarufu wa Pop na R&B ametumia ukurasa wake wa Twitter kumuanika mchumba wake wa sasa mwanamitindo Crystal Reney.
Zaidi mkali huyo mwenye miaka 35 ambaye amehusishwa na kushirikiana na wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond na Ali Kiba ameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto.
Clearing the air..@mscrystalrenay and I are ENGAGED to be married next year. And yes we are expecting. #FromTheHorsesMouth
— NE-YO!! (@NeYoCompound) August 31, 2015