Hizi hapa timu za Mataifa ambazo zimefuzu kutinga hatua ya raundi ya 16 AFCON 2023 baada ya kufanikiwa kuchukua pointi za kutosha kuzidi timu pinzani walizokutana nazo hatua ya makundi kwenye michezo mitatu iliyopigwa huko nchini Ivory Coast “Côte d’Ivoire”.
Kuanzia wikiendi Jumamosi hatua ya 16 bora, itakuwa hivi;
27/01/2024; Angola vs Namibia
Nigeria vs Cameroon,
28/01/2024; Guinea ya Ikweta vs Guinea,
Misri vs Congo DR
29/01/2024; Cape Verde vs Mauritania,
Senegal vs Ivory Coast
30/01/2024; Mali vs Burkina Faso
Morocco vs Afrika Kusini