Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 13 hadi 30, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Januari 25, 2024 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed.

© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT