Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group – CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania pamoja na kuwekeza katika maeneo mbalimbali ya Sekta ya Utalii nchini.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maliasili an Utalii, Angellah Kairuki katika kikao na shirika hilo pamoja na Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dodoma.
#KonceptTvUpdates