Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akipokea tuzo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya ngazi ya msingi ikiwa ni ishara ya shukrani pamoja na pongezi juu ya jitihada za Serikali katika kuimarisha upatikanaji wa huduma za Afya ngazi ya msingi.
#KonceptTvUpdates