Klabu ya Simba imetunukiwa tuzo iitwayo “Humanitarian Award” na Taasisi ya Professor Jay Foundation kutambua mchango wake katika kusaidia jamii.
Tangu ianzishwe mwaka 2023, Taasisi ya Professor Jay imetoa misaada ya matibabu na pia elimu ya afya kwa wagonjwa wengi hususani wa figo.
Pamoja na Simba kupata tuzo hiyo pia mjumbe wa zamani wa Bodi ya Simba, Professor Mohammed Janabi nae alitunukiwa tuzo kwenye hafla hiyo.
#KonceptTvUpdates