#BreakingNews; Bar maarufu ya Kitambaa Cheupe iliyopo Tabata Barakuda, Jijini Dar es Salaam yateketea kwa moto, lakini mpaka sasa bado chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Jeshi la Zimamoto na uokoaji limeendeleza jitihada za kuuzima moto huo

© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT