Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB, leo Aprili 2, 2024 wamesaini mkataba wa udhamini wa Kombe la Shirikisho (CRDB Bank Federation Cup) wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3 kwa miaka mitatu na nusu
Rais wa TFF, Wallace Karia na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakibadilishana mkataba wa udhamini wa Kombe la Shirikisho (CRDB Bank Federation Cup) uliosainiwa leo Makao Makuu ya CRDB, Dar es Salaam, mkataba huo una thamani ya zaidi shilingi bilioni 3
#Picha za hapa chini; Matukio mbalimbali wakati TFF na CRDB wakisaini mkataba wa udhamini kwenye Kombe la Shirikisho (CRDB Bank Federation Cup) wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3 kwa miaka mitatu na nusu.