Picha tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame, Yanga, Mbuyu Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam jana
Twite akipiga ‘push-up’ katika mazoezi yake ya kwanza akiwa na Yanga jijini Dar es Salaam yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo Dar es Salaam.Picha na Francis Dande