Msanii wa muziki wa kizazi
kipya,Linah akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la
Serengeti Fiesta 2012 kwenye uwanja wa Sokoine,Mkoani Mbeya.

Mashabiki kibao.
Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel,Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi
kipya,Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo
waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta,kwenye uwanja wa Sokoine,mkoani Mbeya.
Shemejiii….Wema Sepetu akiwachetua kidogo wapenzi wa mambo ya filamu.
Msanii wa bongofleva kutoka
THT,Barnaba akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la
serengeti fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Wadau wakifuatilia tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea usiku huu.
Watu kibao ndani ya sokoine usiku huu.
Mmoja wa wasanii mahiri wanaotikiza
kwenye anga ya muziki wa bongofleva hasa katika miondoko ya R&B,Ben
Paul akikamua vilivyo jukwaani huku mashabikiwa wake wakishangilia kwa
shangwe.

Pichani kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Mbeya Mh. Dkt. Norman Sigallah akimtaja mshindi wa gari aina ya Vits
itolewayo na kampuni ya Push Mobile,ikiwa ni sehemo mojawapo ya mchakato
wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,anayeshuhudia ni Meneja masoko wa
Push Mobile Rugambo Rodney na kulia ni Chiku Saleh kutoka bodi ya
michezo ya kubahatisha ,ambapo katika bahati nasibu hiyo
iliyochezeshwa,aliyeibuka mshindi ni Eva B Mgovani.

ni full kujiachi tuu ndani ya uwanja wa sokoine usiku huu.
Pichani kati ni Mkuu wa wilaya ya
Mbeya Mh. Dkt. Norman Sigallah akiwa katika picha ya pamoja na Meneje
vipindi wa Clouds FM,na mdau mwingine.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya
anaefananishwa na mashabiki wake kama Ray C,aitwaye Recho kutoka THT
akitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012

Mashabiki wakishangilia vilivyo usiku huu,huku makamuzi ya wasanii yakiendelea jukwaani.
Msanii wa bongofleva anaetikisa kwa
nyimbo kadhaa ikiwemo,Mama halima,Aifora na nyinginezo akiwaimbisha
mashabiki wake kama waonekanavyo pichani usiku huu.

Mkali mwingine anaekuha juu katika
mambo ya kuchana a.k.a kughani Stamina akiamsha kitim kitim kwa wakazi
wa mji wa Mbeya usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta.