Michezo ya kamba nayo ilikuwa ya kuvutia.
Moja
ya michezo iliyovutia katika Tigo Mama Africa Circus inayoendelea
katika ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge.
…watu walipata fulsa ya kubadilisha mawili matatu.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo akizungumza machache
katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi yanayoendelea
katika ukumbi wa ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema
Mwenge. Maonyesho hayo yanaendelea mpaka ifikapo Oktoba 4, 2012.

Mkurugenzi
wa Mancom Centre, Constantine Magavilla akiwakaribisha na kuwashukuru
wageni waliokuwa wamefika katika uzinduzi wa Tigo Mama Afrika Sarakasi