Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaa.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla
ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi
usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar

Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba jukwaani huku Dyana na skwadi lake wakionesha mbwembwe zao kama kawa.
Mmoja
wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer
akishusha mistari yake nguvi usiku huu,huku shangwe na vigele vigele
vikiwa vimetawala.

Mashabiki wakishangweka usiku huu vilivyo.
Mmoja wa washindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo Maker akifloo jukwaani. .
Baadhi ya mashabiki wakijiachia vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012
Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi
ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT wakiamsha amsha usiku huu wakati
tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi
wa tamasha hilo wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya
Lidaz Club,jijini Dar.

wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati
mkubwa wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa
nyumbani na nje wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.

Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya
viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar usiku huu wakati wa tamasha
la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu
mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross ambaye
anatarajia kukamua usikuu huu.