Kwenye interview aliyofanya na Millard Ayo mzee huyu staa
wa movie za vichekesho hapa Tanzania ambae mpaka sasa ameshaigiza movie
zaidi ya 600, umri wake ukiwa miaka 65… alithibitisha kwamba anapokea
mshahara wa milioni 17 mpaka 20 kwa mwezi sasa hivi kutoka kampuni ya
Steps anayofanya nayo kazi

Daladala za biashara anazomiliki Mzee Majuto ni tatu tu na anamiliki pia Noah ambayo ndio anaitumia kutembelea.
Source: Millard Ayo