Yanga SC imeichabanga JKT Ruvu mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu
Vodacom iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar na kufikisha pointi
25. Wafungaji wa mabao ya Yanga: Mrisho Ngassa dakika ya 3 na 12, Oscar
Joshua dakika ya 47 na Jerryson Tegete dakika ya 89.