Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini Jackline Wolper
amesema kuwa watu wanaosema kuwa soko la filamu nchini limeshuka baada
ya Kanumba kufariki ni waongo kwasababu kila mtu ana mashabiki wake na
Kanumba hakuwa ameliteka soko peke yake.

Akizungumza katika The Sporah Show,Wolper alisema kuwa
wanaosema hivyo itakuwa ni mashabiki wa Kanumba ndiyo maana baada ya
kufariki wanaona soko limeshuka kwasababu walizoea kununua kazi zake….

“Ngoja nisawazishe hapo,
kila mtu ana mashabiki wake, ana msanii wake. Kuna mtu anaweza akawa
anampenda Kanumba tu hampendi mtu mwingine yeyote kwa hiyo alikuwa
anachukuwa movies za Kanumba tu, na kuna mwingine anaweza akawa
anampenda Wolper tu ujuee!

“Unajua kuna mashabiki wa
hivyo ambao wanaingia hata front kupigana ukimsema Wolper, ukimsema
nani? sijui nani? you know, kwahiyo mimi ninaweza nikasema huyo ni
shabiki yake sana Kanumba.

“Kwahiyo anaona Kanumba amekufa basi ndio kila kitu
kimekufa. Kama juzi hivi nimefululiza kufanya movies kama tatu na Ray,
wale ambao wanasema zimeshuka labda hawajapita madukani kuangalia lakini
movies zipo nyingi tu”