Justine Timberlake |
Kwa mara nyingine usiku wa Jumapili, May 20 tumeshuhudia mwanamuziki mwingine akibeba tunzo saba kwa wakati mmoja.
Ni mkali wa Pop na R&B Justin Timberlake ambaye alikuwa na usiku wa historia katika jiji la Las Vegas ndani ya MGM Grand Garden Arena baada ya kushinda tunzo saba katika Tunzo ambazo zinaandaliwa na Billboard.Wasanii wengine ambao waliondoka ukumbini hapo meno thelathini na mbili yot yakiwa nje ni pamoja na Imagine Dragons ambaye alishinda tunzo tano, pamoja na Robin Thicket T.I ambao wao waliondoka na tunzo nne kila mmoja.
Tukio ambalo lilionekana la kipekee katika sherehe za tuzo hizo ni shoo ambayo alifanya marehemu Michael Jackson ikiwa imeandaliwa kwa tknolojia ya Hologram. Shoo ya Michael Jackson iliamsha hisia za mashabiki wengi wa muziki na kupelekeea wengine kudondosha machozi. Itazame video hiyo ya Michael Jakson
Orodha ya washindi wote wa tunzo hizo za Billboard 2014 iko hapa
Justin Timberlake
Lorde
Justin Timberlake
Katy Perry
Imagine Dragons
Justin Timberlake
Imagine Dragons
Katy Perry
Justin Timberlake
Bon Jovi
Justin Bieber
Miley Cyrus
Justin Timberlake
Eminem
Luke Bryan
Marc Anthony
Daft Punk
Chris Tomlin
Justin Timberlake, “The 20/20 Experience”
Justin Timberlake, “The 20/20 Experience”
Eminem, “The Marshall Mathers LP 2”
Luke Bryan, “Crash My Party”
Imagine Dragons, “Night Visions”
Marc Anthony, “3.0”
Daft Punk, “Random Access Memories”
Alan Jackson, “Precious Memories: Volume II”
Robin Thicke Featuring T.I. & Pharrell, “Blurred Lines”
Robin Thicke, Featuring T.I. & Pharrell “Blurred Lines”
Robin Thicke Featuring T.I. & Pharrell, “Blurred Lines”
Imagine Dragons, “Radioactive”
Miley Cyrus “Wrecking Ball”
Robin Thicke Feat. T.I. & Pharrell, “Blurred Lines”
Macklemore & Ryan Lewis Featuring Ray Dalton, “Can’t Hold Us”
Florida Georgia Line Featuring Nelly, “Cruise”
Lorde, “Royals”
Marc Anthony “Vivir Mi Vida”
Avicii “Wake Me Up!”
Matthew West “Hello, My Name Is”