Dany Welbek anaviumiza vichwa vya wamiliki wa Everton wakiwa wanamuhitaji kama mbadala wa Lukaku.
Samuel Etoo anaitaka Arsenal
Eden Hazard yuko mbioni kuungana na mchezaji mwenzake David Luiz kuelekea PSG kwa kitita cha paundi milioni 60
Paul Pogba anamkosesha raha Jose Mourinho, Chelsea inamhitaji mshambuliaji huyo wa zamanai wa Man U ambaye kwa sasa ni mshambuliaji tegemezi wa Juventus.