CAMEROON wameanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali
kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mexico kwenye mechi iliyopigwa hivi punde
nchini Brazil.
Bao la Mexico limewekwa kimiani na Oribe Peralta katika dakika ya 61 ya mchezo.
VIKOSI:
Mexico: Ochoa, Layun, Moreno, Marquez, Rodriguez, Aguilar, Guardado (Fabian 69′), Vazquez, Herrera, Giovani, Peralta (Hernandez 74′).
Benchi: Corona, Salcido, Reyes, Jimenez, Pulido, Ponce, Brizuela, Aquino, Pena, Talavera.
Kadi za njano: Moreno
Mabao: Peralta 61′
Cameroon: Itandje, Djeugoue (Nounkeu 45′), N’Koulou, Chedjou, Assou-Ekotto, Song (Webo 79′), Mbia, Enoh, Moukandjo, Eto’o, Choupo-Moting.
Benchi: Feudjou, Aboubakar, Makoun, Bedimo, Fabrice, Salli, Matip, Nyom, N’Djock.
Kadi za njano: Nounkeu
Mwamuzi: Wilmar Roldan Perez
Mashabiki: 39, 216