Jamaa anaitwa Dan Newbie. Ameamua kuonesha ni jinsi gani ameielewa ngoma ya Pharell Williams “Happy” na akaamua kufanya mautundu kwa kutumia glass za maji na makorokoro mengine kama unavyoyaona mezani.
Hebu icheki halafu tuone:
© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT
© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT